Updates

Afya Yako

Kwanini tunahimizwa kula daku?

Kula daku ni jambo lililokoko- tezwa sana na Uislamu kama tunakavyo ona katika Aya na Hadithi za Mtume Muhammad (rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimfikie) katika makala hii. Qur’an na daku “ . . . Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajir katika weusi wa usiku. . . ” (Qur’an,2:187). Ayahiiinatuhimi- za kula na kunywa mpaka ...

Read More »

Mlo wa tende Unavyosaidia Kuandaa Futari Kamili

Kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume Muhammad (amani na rehema ya Allah zimshukie), mfungaji anatakiwa afungue kwa tende, maji au maziwa, halafu aswali Magharibi na baada ya hapo aendelee kula (futari kamili). Tukizingatia aina ya virutubisho (nutrients) vinavyopatikana katika mlo wa tende, tutaweza kuandaa mlo bora kabisa ambao tutaula baada ya mtu kukata swaumu kwa tende. Pia, kuzifahamu tende kutatusaidia ...

Read More »

Maadhimisho ya Wiki ya Maji

Je unajua mwili ukikosa maji huzeeka haraka? KARIBU kila mwaka, Tanzania huungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Wiki ya Maji kwa kufanya sherehe na maonesho katika maeneo mbalimbali nchini. Wiki ya Maji huanza tarehe 16 hadi 22, Machi, kila mwaka. Hata hivyo, wiki iliyopita baadhi ya vyombo vya habari vilimnukuu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge, akisema kuwa maadhimisho ...

Read More »

Mambo Yanayochangia Mtu Kukosa Usingizi

Usingizi ni neema Usingizi ni neema na rasilimali ambayo Mwenyezi Mungu apetupa wanadamu. Mtu asiyepata muda wa kutosha wa kulala anafungua milango ya kupata maradhi mbalimbali. Katika mafundisho ya Qur’an, usingizi ni alama ya kuonyesha uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’an Tukufu: “Na katika Ishara zake ni kulala kwenu usiku na mchana, na kutafuta kwenu fadhila zake. ...

Read More »

Magonjwa Yanayosababishwa Na Ukosefu Wa Chakula Kwa Watoto

Kuachishwa ziwa Wakati mtoto anapoachishwa ziwa huwa ni muda wa majaribu makubwa kwa mtoto. Pia, mama mwenyewe (na baba) hufanya uamuzi wa kumwachisha mwanawe ziwa (kunyonya). Watoto wengine huachishwa ziwa baada ya mama kupata mimba. Ama mtoto akiwa na umri wa miezi sita au chini ya hapo. Hii ni tabia mbaya na ni hatari kwa maisha ya mtoto. Mtoto aliyezaliwa ...

Read More »

Vyakula na magonjwa

Uzito kupita kiasi una madhara kwa wenye VVU? Virusi Vya UKIMWI (VVU) ni vimelea vinavyosababisha hali ya UKIMWI kwa kushambulia mfumo wa kinga ya mwili. Kinga ya mwili wa mtu inaposhuka husababisha mwili kushindwa kupambana na VVU na hivyo kuruhusu magonjwa nyemelezi kupenyeza kirahisi. Vimelea hivi vya VVU huishi na kuzaliana ndani ya chembechembe hai za kinga ya mwili ziitwazo ...

Read More »

Kufunga Kunapunguza Athari za Uzee

SAN FRANCISCO Kufunga kwa siku tano kila mwezi kunaweza kupunguza athari ya kuzeeka na kusaidia kupambana na baadhi ya maradhi kama shinikizo la damu, kwa mujibu wa matokeo ya utafiti mpya yaliyotangazwa hivi karibuni. Utafiti huo uliofanyika huko San Fransisco, Marekani ulishirikisha watu 100 ambapo nusu walikula kama kawaida kwa sehemu kubwa ya mwezi lakini katika siku tano mfululizo walipunguza ...

Read More »