Updates

Akisi Ya Aya

“Enyi Mlioamini! Mmelazimishwa kufunga (Swaumu) . . .”

Assalam Alaykum wap- endwa wasomaji wa safu hii adhimu ya Akisi ya Aya. Kwanza niwa- take radhi kwa kushindwa kuwaletea safu hii wiki iliyopita kutokana na sababu zi- lizokuwa nje ya uwezo wangu. Lakini leo Insh’Allah tuakisi pamoja Aya hizo za Mwenyezi Mungu tuli- zozitaja kutoka Surat Baqara ambazo zinase- ma: “ Enyi Mlioamini! Mmelaz- imishwa kufunga (Swaumu) kama walivyolazimishwa ...

Read More »

“Bila Ya Shaka Dini Mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu..”

Mbele ya Mwenyezi Mungu, kuna mfumo mmoja tu wa maisha, ambao unalingana na uhalisia wa maumbile ya binadamu na maadili yake. Sehemu ya mfumo huo ni binadamu kumkiri Mwenyezi Mungu kama Mola wake na kwamba Yeye tu ndiye anayestahili kuabudiwa. Katika mfumo huu, binadamu anajisalimisha kikamilifu kwa Mwenyezi Mungu kwa kumtii na kumtumikia. Kwa kufanya hivyo, binadamu anapaswa kufuata kikamilifu ...

Read More »

Je! Wanadhani Watu Wataachwa Kwa Kuwa Wanasema, ‘Tumeamini’; nao wasijaribiwe?”

Wakati Aya hiyo iliposhuka, hali ya mambo mjini Makka ilikuwa mtihani mkubwa. Kila aliyeukubali Uislamu basi alikuwa shabaha ya unyanyasaji, ukandamizaji na udhalilishaji. Kama alikuwa mtumwa au masikini, basi alipigwa na kupewa mateso yasiyovumilika. Kama alikuwa muuza duka au fundi, basi angepewa mateso ya kiuchumi ili afe njaa. Kama angekuwa mwanafamilia wa ukoo mashuhuri, basi watu wake wangempa mateso na ...

Read More »

Hakika Allah Anakuamrisheni Kuzirudisha Amana Kwa Wenyewe…

“Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni kuzirudisha amana kwa wenyewe. Na mnapohukumu baina ya watu mhukumu kwa haki. Bila shaka mawaidha anayokutoleeni Mwenyezi Mungu ni mazuri sana. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye asikiaye na aonaye” (Qur’an, 4:58). Kama tulivyosema awali, ukiakisi kwa kina, utaona amana ina maana pana zaidi kuliko tunavyoweza kufikiri. Amana ipo katika kila kipengele cha maisha yetu. Hebu tuangalie mifano ...

Read More »