Updates

Aliyeslimu

Albert Alexender Ngalwa: Mestant aliyeamua Kumbwagia virago padri Kanisa Katoliki

Ngalawa ambaye kabla hajaiona nuru ya Uis- lamualikuwaakiitwaAlbertAlexender, alizaliwa miaka 38 iliyopita Wilayani Kilombero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa nne wa familia ya mzee Alexender Ngalawa. Maisha yake kabla ya kusilimu Nilikutana na Bakari mtaa wa Karume mjini Morogoro ambapo aliniambia alianza shule ya msingi mwaka 1990 na kuhitimu darasa la saba mwaka 1996 katika shule ya msingi Nyanduo ...

Read More »

STELLA NJAMA; Bibilia Ilivyotumika Kumbadilisha Hadi Kusilimu

Kwa wafuatiliaji wa safu hii, tunayemzungumzia leo ni ndugu wa Mariam Njama ambaye kisa chake tumekieleza wiki chache tu zilizopita. Mdogo wake huyu alizaliwa kwa jina la Stella Wildbad Njama lakini sasa anaitwa Jamila. Jamila alizaliwa Moshi kijiji cha Kikavu mwaka 1992, na alipata elimu yake huko katika shule ya Kikavu chini, akitokea katika familia ya waumini wazuri wa dini ...

Read More »

Aaron Petro na Jinsi Alivyohama Ukristo

Aaron Petro Show alizaliwa JanuarI 9, 1978 Mkoani Kilimanjaro katika Wilaya ya Hai Kijiji cha Kilanya, akiwa mtoto wa kwanza kati ya jumla ya watoto nane wa baba na mama mmoja. Aaron alipata elimu yake ya msingi huko huko, lakini hakubahatika kuendelea mbele kwa sababu ya migogoro ya kifamilia. Familia ya Aaron ilikuwa ni waumini wazuri wa Ukristo kutoka dhehebu ...

Read More »