Updates

Darasa La Wiki

Funga na malezi ya nafsi

Allah ameifanya funga kuwa ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uisla- mu, akaifanya kuwa ni faradhi kwa kila mwenye kulazimmika kisheria. Allah amewasemesha watu kwa shar- ia hii na akawaita wale wenye kuamini kwa sababu wao ni wepesi sana kuiti- kia wito wa Allah na kuufanyia kazi baada ya kuusikia. Allah akasema: “Enyi mlioamini! Imewajibishwa juu yenu funga, kama ilivyowajibishwa ...

Read More »

Taratibu na misingi inayoimarisha ndoa katika uislamu

Aidha tulibainisha kwamba inafaa kuposa kwa kutumia lugha ya ishara, kwa mwanamke aliye katika eda kwa kuzingatia hali fulani, na uharamu unakuwepo kwa nyakati fulani. Swali la msingi la kujiuliza katika shauri hili, ni ipi hukumu ya mwan- amke aliyeolewa kwa kupitia mchaka- to wa posa ya haramu? Jibu la swali hili ni kwamba, kwa kauli sahihi ya wa- nazuoni, ...

Read More »

Taratibu na Misingi Inayoimarisha Ndoa Katika Uislamu

Imekuja Hadithi ya Mtume (rehe- ma na amani ya Allah imshukie) inayobainisha kuwa haifai kisharia kumchumbia mwanamke aliye katika eda ya kuachwa talaka tatu au eda ya aliyefiwa na mumewe, kwa kutumia lugha ya wazi kabisa. Fatima binti Kaisi (Allah amridhie) aliachwa na mumewe talaka tatu. Mtume (rehema na amani ya Allah imshukie) akamwambia: “Utaka- pomaliza eda yako nijulishe.” Eda ...

Read More »

Hukumu na Muongozo Sahihi Wa Mazishi Katika Uislamu

Mwanadamu pindi anapofikwa na mauti hana budi kuwa na subira pamoja na kuridhia maamuzi ya Allah aliyetukuka na kudura zake; na wala si vibaya kama atawafahamisha watu maradhi yake yanayomsumbua. Lakini kufanya hivyo iwe ni pamoja na kuridhia maamuzi ya Allah na kumshatakia yeye ugonjwa huo. Na mtu kutaka shifaa (uombezi) kwa Allah aliyetukuka hakumuondoshei yeye subira, bali ni Sunna ...

Read More »

Hukumu Na Muongozo Sahihi Wa Mazishi Katika Uislamu

Kumkafini maiti Kumkafini maiti maana yake ni: Kumvisha sanda. Hili ni jambo la pili la lazima analofanyiwa maiti wa Kiislamu baada ya kumaliza kumuosha. Na uhalali wa kisharia wa suala hili, ni mafundisho ya Hadithi ya Mtume (rehema na amani zimshukie) ambayo tumeshaieleza wakati wa kujadili suala la uoshaji wa maiti. Na gharama za ukafini wa maiti zitatolewa katika mali ...

Read More »

Makosa Yanayofanywa Katika Kuondosha Makosa

Kuzungumzia makosa si jambo la jambo kwani mtu yoyote akitafiti makosa yanayotendwa atakutana nayo mengi mno. Hii ni kwa sababu, binadamu, vyovyote vile imani yake, uchaji wake au elimu yake itakavyokuwa; ni lazima atakuwa na makosa na mapungufu kadhaa, achilia mbali makosa ya watu wengine wanaomzunguka. Hali hii inatokana na sifa ya kimaumbile ya mwanadamu kama alivyoelezea wazi Mtume wa ...

Read More »

Hukumu Na Muongozo Sahihi wa Mazishi katika Uislamu

Kutaja mema ya Kutaja mambo mema na ya kheri aliyokuwa akiyafanya maiti kipindi cha uhai wake ni jambo zuri na linaloruhusiwa kisharia. Lakini usimuliaji huo wa mambo ya kheri ya maiti ni sharti usimuliwe na Waislamu kunzia wawili na kuendelea, miongoni mwa jirani zake ambao wanamjua marehemu vizuri. Isitoshe watu hao wawe na sifa nyingine za ziada, wawe wema na ...

Read More »