Updates

Duru za Kimataifa

Tatizo siyo Trump, ni Marekani

N i jambo linalogusa moyo sana kuona baadhi ya wananchi wa Marekani wakisimama pamoja na Waislamu kumpinga Donald Trump na sera zake za kibaguzi. Kuna matumaini kwamba maandamano makubwa ya raia wa Marekani kumpinga Rais Trump yanaweza kuleta tija. Hata hivyo, Waislamu ulimwenguni kote hawapaswi kudanganywa na mauzauza yanayoficha mwelekeo halisi ambao jamii ya Kimarekani imeamua kuuchukua na itaendeela kuuchukua. ...

Read More »

Ustaarabu wa Magharibi unavyotishwa na hijab!

Said Rajab K ama kulikuwa na s h a k a y o y o t e kwamba Waislamu hawatakiwi barani Ulaya, sasa jambo hilo limetungiwa sheria na Mahakama ya Ulaya. Uamuzi wa majaji wa Jumuiya ya Ulaya (EU) kuwaruhusu waajiri barani humo kuwapiga marufuku wafanyakazi wao kuvaa Hijab, umekuja kufuatia harakati za muda mrefu za kuwazuia wanawake wa Kiislamu ...

Read More »

Rais Erdogan Amshutumu Merkel kufuga Magaidi

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, ameendeleza mashambulizi yake dhidi ya viongozi wa Ulaya kwa kumshutumu Kansela wa Ujermani, Angela Merkel kwa kuunga mkono magaidi, ingawa Merkel amepuuza shutuma. Msemaji wa Merkel Steffen Seibert amesema: “Kansela Merkel hana nia ya kuwa sehemu ya mchezo wa kuchokonoana.” Matamshi ya Erdogan ya kumshutumu Merkel yametolewa kupitia runinga ya ‘A Haber’ ya Uturuki ...

Read More »

UNICEF: 2016 Ulikuwa Mwaka Hatari kwa Watoto Syria

Watoto nchini Syria walikuwa na wakati mbaya mwaka jana ambapo wengi wao waliuawa kuliko miaka yoyote ile tangu kuzuka kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe, linasema Shirika la Umoja wa Mataifa la Kushughulikia Watoto Duniani (UNICEF). Mwaka jana, takribani watoto 652 waliuawa, kati yao watoto 255 waliuawa ndani au karibu na shule ikiwa ni ongezeko la asilimia 20 ya watoto ...

Read More »

Warohingya Waitaka EU Kuunga Mkono Uchunguzi Wa UN

Kundi linalowakilisha jamii ya Waislamu wachache wa Rohingya nchini Ulaya limeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kuunga mkono uchunguzi wa Umoja wa Mataifa (UN) kuhusu uhalifu wanaotendewa wa Rohingya. Baraza la Ulaya la Warohingya (ERC) linasema kuwa inahuzunisha sana juu ya uamuzi wa EU wa kutounga mkono uchunguzi wa UN. Ripoti iliyotolewa inaonesha kuwa mwezi uliopita EU iliamua kutounga mkono uchunguzi ...

Read More »

Mfalme Salman: Jitihada za kimataifa Zitamaliza Migogoro Mashariki ya Kati

Mfalme wa Saudi Arabia Salman amesema kuwa zinahitajika jitihada za kimataifa ili kuitanzua migogoro ya Mashariki ya Kati ikiwemo ya Palestina, Syria na Yemen, linaripoti Shirika la Habari la Saudi Arabia (SPA). Mfalme Salman alizungumza hayo wakati alipokutana na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe, mjini Tokyo ambapo walijadili mambo ya amani. Mfalme Salman alisema ugaidi umekuwa janga kubwa kwa ...

Read More »

Wasomali Milioni 6 Wakabiliwa na Njaa Kali

Umoja wa mataifa(UN) umesema kuwa watu milioni 6.2 nchini Somalia wanakabiliwa na njaa kali kutokana na ukame ulioikumba nchi hiyo; na tayari mpaka sasa watu zaidi ya 100 wamekwishafariki. Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limeonya kuwa imesalia miezi mwili tu ili kuepeuka hali hiyo iliyowahi kulikumba taifa hilo mara tatu ndani ya miaka 25 iliyopita ambapo njaa ...

Read More »

Syria Yanyonga Watu 13,000

Ni katika gereza la mateso S hirika la Kimataifa la Haki za Binadamu (Amnesty International) limeripoti kuwa Serikali ya Syria imewanyonga jumla ya watu 13,000 kwa kipindi cha miaka minne tangu hapo mwaka 2011. Shirika hilo linadai kuwa matukio hayo ya unyongaji yalifanyika katika jela ya kijeshi ya Saydnaya kaskazini mwa mji wa Damascus kuanzia Septemba mwaka 2011 hadi Decemba ...

Read More »

Trump Awazulia Wakimbizi Waislamu

NA MWANDISHI WETU Wahenga walisema, “Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya kisha ndiyo umuue”. Wala hakutakuwa na wakukulaumu. Inaonekana hilo ndilo analofanya Rais wa Marekani Donald Trump ambaye hivi karibuni amejikuta akiingia matatani kwa kuwazushia wakimbizi wa Kiislamu walioko nchini Sweden kuwa wamekuwa wakifanya vitendo vya ugaidi nchini humo. Akijenga hoja ya kuhalalisha kuwazuia wakimbizi wanaokimbilia nchini Marekani kupata hifadhi, ...

Read More »