Updates

Fatawa

Mtu asiyeweza kufunga daima Swali: Mimi nina umri wa zaidi ya miaka 70. Hivi sasa nimepitwa na Ramadhani kadhaa, na sijazilipa kwa sababu ya maradhi. Je, kwa utu uzima wangu ninalaz- imika kulipa hizi funga na kutoa fidia au nifidie tu? na kipi kiwango cha pishi kwa kulinganisha na kilo? JawabU: Kama una matu- maini ya kupona unalazimika kulipa funga. ...

Read More »

FATAAWA

Chanzo cha itikadi katikaUislamu Swali: Itikadi yetu tunaitoa wapi? Jawabu: Itikadi katika Uislamu inatolewa kwenye Qur’an na Sunna. Lengo la kuumbwa majini na watu Swali: Kwa nini Allah aliwaumba majini na watu? Jawabu: Allah amewaumba majini na watu kwa ajili ya kumuabudu. Allah anasema: “Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi” (Qur’an, 51:56). Maana ya kuabudu Swali: Nini maana ...

Read More »