Updates

Jamii na Malezi

Athari ya Funga Katika Maadili ya Muislamu na Kujenga utu

Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi Mungu, na re- hema na amani zimfikie bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu na jamaa zake, Maswahaba zake na wote wamfuatao kwa wema. Ama baada ya hayo, ibada katika Uislamu zina athari kubwa katika kuzirekebisha nafsi, kuzitakasa na uchafu na kurekebisha tabia. Na ibada ya funga ni miongoni mwa ibada zenye mchango mkubwa un- aoonekana ...

Read More »

Kujibu Madai Uislamu ni Dini ya Umwagaji Damu

Kila sifa njema anastahiki MwenyeziMunguPekeYake na rehema na amani zimfik- ie Mtume Muhammad ambaye hakuna Nabii baada yake. Ama baada ya hayo. Awali ya yote, hatuna budi kusema kuwa Uislamu hauhusiki kabisa na makundi ya kukufurisha ambayo yamezagaa katika zama hizi. Uis- lamu pia hauhusiki na vitisho, kuua, kukatakata viungo vya wafu na kumwaga damu kwa jina la Uislamu. Yote ...

Read More »

Misingi Ya Uraia Mwema na Athari Zake

Uislamu ndiyo mhimili wa uhusiano mwema kati ya watu, na kwamba watu wameumbwa kutokana na nafsi moja. Baada ya kuumbwa, walisambazwa kwenye nchi mbalimbali za dunia wakiwa katika makundi, sifa, rangi na lugha tofauti. Mwenyezi Mungu anawazungumzia waja wake kwa kusema: “Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliyekuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na ...

Read More »

Utukufu Wa Ustaarabu Wa Kiislamu Kimaadili

Na Sheikh Muhammad Amir Othman Ustaarabu wa Uislamu ume fanya makubwa mengi kwenye karne zilizopita, hasa katika upande wa maadili, Nikuombe uambatane nami ili tubaini maana ya ustaarabu. Neno ustaarabu kilugha linamaanisha kuanzisha kikundi cha watu katika maeneo ya mijini, yaani kwenye maeneo ya miji, sawa ikiwa mijini au vijijini. Lakini kwa wanahistoria, watafiti na wataalamu wa mambo ya kijamii, ...

Read More »

Ushirikiano Ndiyo Msingi Wa Uhusiano Na Wengine

S hukurani zote anastahiki Mwenyezi Mungu na rehema na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu na jamaa zake na Swahaba zake na wote wanaomfuata. Ama baada ya utangulizi huu mfupi, ili dunia ipate amani na ushirikiano hapana budi dira ya Uislamu itumike kwani Uislamu hujali uhusiano na wengine. Ushirikiano unaozungumziwa hapa lazima ulenge kuja na mfumo na muundo unaohakikisha amani ...

Read More »