Updates

Kutoka Katika Quran na Sunnah

Kudumu na ibada baada ya Ramadhani ni ishara ya kukubaliwa swaumu

Allah anasema; “Na Muham- mad si yeyote isipokuwa ni Mtume tu. Wamekwishapita kabla yake Mitume. Je, akifa au akiuawa mtageuka nyuma ya visigino vyenu (mrudi ukafirini)? Na atakayegeuka nyuma ya visig- ino vyake, basi hatomdhuru Al- lah kitu chochote. Na Allah ata- walipa wenye kushukuru. Na unaelewa nini unaposoma Hadithi ya Mtume iliyorekodiwa na Imamu Bukhari na Muslim kutoka kwa ...

Read More »

Muislamu na swaumu

Katika Hadithi, Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) amesema; “Anaposafiri mja au kuugua huwa anaandikiwa thawabu za yale ambayo alikuwa na ada ya kuyafanya wakati akiwa hajasa- firi na mzima.” Wanawake wengi wanap- opatwa na ada zao za kimaum- bile ndani ya Mwezi wa Ramad- hani, hukata tamaa kwa kuche- lea na kuhofia kupitwa na kheri na ...

Read More »

Muislamu na swaumu

Allah anasema: “Enyi mlio- amini! Mmefaridhishwa kufun- ga (swaumu) kama ilivyofari- dhishwa kwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachaMun- gu. (Swaumu ni) Siku za kuhesa- bika. Basi atakayekuwa mgonjwa miongoni mwenu, au yuko safa- rini, basi akamilishe idadi katika masiku mengineyo. “Na kwa wale wanaoiweza la- kini kwa mashaka watoe fidia; kulisha masikini. Na atakayefan- ya kwa khiari yake ...

Read More »

muislamu na swaumu

“Basi atakayekuwa mgonjwa miongoni mwenu, au yuko safa- rini, basi akamilishe idadi katika masiku mengineyo. Na kwa wale wanaoiweza lakini kwa mashaka watoe fidia; kulisha masikini. Na atakayefanya kwa hiyari yake jema lolote, basi hilo ni bora kwake. “Na mkifunga Swaumu ni bora kwenu mkiwa mnajua. Mwezi wa Ramadhani ambao imeterem- shwa humo Qur’an ili iwe muon- gozo kwa watu ...

Read More »

Sayansi Mamboleo Na Mafunzo Mbalimbali Ambatanishi

“Na lau kama hakuwa mion – goni mwa wenye kumsabbihi Al – lah. Angelibakia tumboni mwake mpaka Siku watakayofufuliwa (viumbe). Basi Tukamtupa kwenye ardhi tupu ufukweni (al – ipomcheua samaki) naye akiwa mgonjwa. Na Tukamuoteshea mti unaotambaa aina ya mung’unya. Na Tukamtuma kwa (watu wake) laki moja au wanaoz – idi. Wakaamini, basi Tuka – wastarehesha kwa muda,” (Qur’an, 37:139-148). ...

Read More »

Sayansi Mamboleo na Mafunzo Mbalimbali Ambatanishi

Imamu Bukhari anasimulia kutoka kwa Abu Huraira (Allah amridhie) kwamba Mtume Muhammad (rehema na amani ya Allah iwe peke yake) amesema: “Habbat-sawdaa inatibu kila kitu isipokuwa mauti.” Mpenzi msomaji, katika makala iliyopita nilikuahidi kuwa katika makala hii tutafahamishana juu ya baadhi ya magonjwa yanayotibiwa kwa asali. Kabla hatujaingia kuyataja baadhi ya magonjwa hayo hebu tutaje dawa nyingine muhimu iliyotajwa katika ...

Read More »

Sayansi Mamboleo na Mafunzo Mbalimbali Ambatanishi

“Na Mola wako alimtia ilhamu nyuki kwamba, jitengenezee nyumba katika majabali, na katika miti, na katika wanavyojenga (wanadamu). Kisha kula katika kila matunda, na fuata njia za Mola wako zilizofanywa nyepesi (kuzipita). Kinatoka katika matumbo yao kinywaji cha rangi mbali mbali ndani yake mna shifaa (ya magonjwa) kwa watu. Hakika katika hayo, bila shaka ni Aya (ishara, dalili, zingatio) kwa ...

Read More »

Sayansi Mamboleo Na Mafunzo Mbalimbali Ambatanishi

Mtume alimuelekeza mtu yule amwambie ndugu yake, mgonjwa wa tumbo, anywe asali. Halafu mtu huyo akaja mara ya pili na ya tatu, akisema kuwa tumbo bado linamsumbua tena limezidi naye Mtume akawa akitoa jibu hilo hilo la kuwa anywe asali. Mara ya nne, Mtume akasema: “Allah kasema kweli (yaani asali dawa), lakini tumbo la ndugu yako linadanganya. Mwambie anywe tena ...

Read More »

Sayansi Mamboleo na Mafunzo Mbalimbali Ambatanishi

Mpenzi msomaji, Allah kamtaja nyuki katika kitabu chake kitukufu. Vilivile ameiita sura kamili miongoni mwa sura 114 za Qur’an Tukufu kwa jina la ‘nyuki’ (Annahl). Suratul Nnahl kimpangilio wa sura za Qur’an ni sura ya 16. Kwa kuipa sura hii jina hili, Allah anataka tuzinduke na kumtafakari kiumbe huyu mdogo (nyuki) lakini afanyaye jambo kubwa na linaloonyesha uwezo na kudra ...

Read More »