Updates

Matukio Yenye Mazingatio

Niliogopea Nafsi Yangu Ewe Mjumbe wa Allah

Ulikuwa ni usiku wenye baridi kali katika vita vya ‘Dhatu Ssalaasil.’ ‘Amr bin al-’As (Allah amridhie) aliota, akapatwa na janaba. Akaihurumia nafsi yake, akawaza ikiwa ataoga basi anaweza kuangamia. Akaamua kutayamamu (kutumia udongo badala ya maji) kisha akawaswalisha Maswahaba wenzake (Allah awe radhi nao). Baada ya vita, wenzake wakamfahamisha Mtume (rehema na amani za Allah zimshukie) Mtume akasema: “Ewe ‘Amr, ...

Read More »

Kaa hapa nikufundishe elimu ya Sa’id

S a’id bin Musayyib ni bwana wa Taabi’in watu waliowaona Maswahaba wa Mtume (rehema na amani za Allah zimshukie) na alikuwa ni katika wanachuoni wao wakubwa. Mwanachuoni huyu alikuwa na binti yake ambay alikuwa na adabu nzuri na elimu nyingi, mjuzi wa Kitabu cha Allah na Sunna za Mtume (rehema na amani za Allah ziwe juu yake). Binti yake huyu ...

Read More »