Updates

Nasaha za Wiki

Tuendeleze somo la kusamehe, kuvumilia tulilolipata ndani ya Ramadhani

Kwa hakika ngao pekee inayoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibinadamu ni kutubia makosa pamo- ja na kukithirisha ‘Istighfaar’ yaani ku- muomba msamaha Mwenyezi Mungu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, bado mion- goni mwetu hatuna utayari wa kuitekeleza ibada hii kutokana na kuipa thamani ndo- go, na ndio ...

Read More »

Darasa za ramadhani zituongoze katika kumcha allah vilivyo

Darasa za Ramadhani ni moja ya vikao muhimu vinavyoweza kumbadilisha Muislamu kutoka kwenye maisha ya uchaji viumbe/vitu hadi UchaMungu. Dar- asa hizi ambazo nyingi hufanyika misikitini nyakati za jioni, zimekuwa na umuhimu mkubwa hususan katika zama hizi ambapo Waislamu hawana hima ya kusoma dini yao. Kuna mengi ya kujifunza kupitia darasa za Ramadhani ikiwa ni safari ya kuelekea kwenye maisha ...

Read More »

Kila la kheri washiriki, waandaaji mashindano ya Qur’an

Mwezi wa Ramadhani ni mwezi bora kuliko miezi yote, na moja kati ya saba- bu ya ubora wake ni kule kuter- emshwa katika mwezi huu Qur’ an Tukufu kama ilivyothibiti ndani ya Qur’an:“Mwezi wa Ra- madhani ndio ambao imeterem- shwa Qur’ an ili iwe uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uon- gofu na upambanuzi (wa baina ya haki ...

Read More »

Tutumie Ramadhani kujifunza kusameheana

Kutubia makosa na kukithirisha ‘istigh- faar’ yaani kumuomba msamaha Allah, ni ngao mbili muhimu zinazoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibin- adamu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, baadhi yetu tu- mekosa utayari wa kutekeleza ibada hii kuto- kana na kuipa thamani ndogo, na ndiyo maana kila mwaka tunafunga ...

Read More »

Qur’an Inasemaje Ndugu Wanapogombana?

Mapema wiki hii, baadhi ya nchi zinazounda Umoja wa Ghuba (GCC) zilisitisha uhusiano wao wa Kidiplomasia na nchi ya Qatar. Nchi hizo ni pamoja na Saudi Arabia, Misri, Bahrain, Yemen, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Kisi- wa cha Maldives. Kuna mengi yametajwa kama chanzo cha mvutano huo, lakini sisi kama chombo cha habari cha Kiislamu kinachopendelea na kuhimiza ...

Read More »

ramadhani ituandae kutekeleza ibada ipasavyo

Hakika Mwenyezi Mungu amewaumba majini na wanadamu kwa hekima na lengo maalum, nalo ni kumuabudu Yeye Peke Yake. Pamoja na ukweli huo wan- adamu wengi wanaamini kuwepo kwao duniani ni kwa bahati tu (by chance). Pia, kuna waliochupa mipaka na kudha- ni kuwa uhai wa duniani hauna lengo jin- gine lolote zaidi ya kustarehe na kusubiri kifo. Miongoni mwa hao ...

Read More »

Funga ni zaidi ya kuacha kula na kunywa

Ramadhani ni mwezi ambao Allah ameufadhilisha na ku- upa hadhi ya kipekee. Mion- goni mwa fadhila zinazopatikana ndani ya mwezi huu mtukufu ni waumini kusamehewa mad- hambi, kufungwa milango ya moto na kufunguliwa milango ya pepo. Pia, ndani ya Mwezi wa Ram- adhani, hupatikana usiku bora (Laylatul Qadr), usiku ambao Muislamu akidiriki kufanya iba- da hupata malipo ya miezi elfu ...

Read More »

Pendelea watu kheri na uwausie kumcha Allah

K upendeleana kheri ndiyo chimbuko la kupatikana amani, mshikamano, upendo, furaha, ukarimu, kusameheana na uadilifu miongoni mwa wanajamii. Kinyume chake ni watu kutakiana shari, jambo ambalo hupelekea chuki, bughudha na kuhusudiana. Hakika, mwenye kuwapendelea kheri waja wa Allah, mikono yake huwa baina ya mazuri na utukufu. Allah anasema: “Mema na maovu hayalingani. Pinga uovu kwa lilio jema zaidi. Hapo yule ...

Read More »

Fuata Qur’an na Sunna upate Utukufu Kwa Allah

Qur’an ni kitabu cha Allah alichokiteremsha kwa wanadamu wa zama za mwisho kupitia Mtume Muhammad (rehema na amani ya Allah zimfikie). Pamoja na umuhimu wake, tulio wengi tumeshindwa kuitambua Qur’an nuru na muongozo wenye kudhamini mahitaji yetu. Haifai kwa Muislamu kuipuuza Qur’ an kwa namna yoyote. Allah Mtukufu anaonya: “Na mwenye kupuuza mawaidha yangu haya (Qur’an); basi atapata maisha yenye ...

Read More »

Kutenda Kheri Ndiyo Ulinganiaji Bora, Na Wenye Tija

Ulinganiaji ni katika matendo matukufu na yaliyo bora zaidi mbele ya Allah Ta’ala. Muislamu atakapoweza kutekeleza ibada hii ipasavyo atakuwa amehuisha kazi ya Mitume na Manabii, nayo ni kuwalingania watu katika njia ya Allah. Allah Mtukufu anawausia waumini juu ya kushikamana na ibada hii tukufu: “Na wawepo katika nyinyi watu wanaolingania kheri na wanaoamrisha mema na wanakataza maovu. Na hao ...

Read More »