Updates

Ncha ya Kalamu

Nani Aliyeuza Ardhi Ya Wapalestina?

Kitisho cha Saudi Arabia kwamba ikibidi itaingia vitani kuipigania ardhi ya Palestina kilipata mtihani wake wa kwanza kwa kuundwa Kamati ya Pamoja ya Uingereza na Marekani kuhusu Palestina. Miezi miwili baada ya Rais Harry Trumann wa Marekani kutangaza Marekani itawapa hati za kusafiria wahamiaji laki moja wa Kiyahudi walionusurika katika makucha ya Hitler waingie Palestina, tangazo hilo lilipingwa na nchi ...

Read More »

Nani Aliyeuza Ardhi Ya Wapalestina?

Waarabu na kadhia ya Palestina Kama kulikuwa na matumaini waliyokuwa nayo Wapalestina kuhusu kupata haki yao ya kujiamulia mambo yao, basi yaliwekwa mikononi mwa nchi za Kiarabu. Mnyukano kati ya mataifa ya Kiarabu ulikuja kuwagharimu Wapalestina ardhi yao. Nchi hizo zilikuwa katika mivutano kati yao kupigania uongozi wa mataifa ya Kiarabu, nafasi ambayo ilikuwa ya heshima kubwa mbele ya medani ...

Read More »

Nani aliyeuza ardhi ya Wapalestina?

Kumalizika kwa Vita na Hatma ya Palestina Kasi ya matukio ya mwaka 1945 kufuatiwa kuundwa kwa Umoja wa Mataifa, ulioundwa mwaka mmoja baada ya Umoja wa nchi za Kiarabu (Arab League), ilionesha kwamba mataifa ya Kiarabu na Wapalestina walikuwa wana matumaini mapya. Mataifa sita ya Kiarabu yalijiunga na kuwa wanachama wa mwanzo wa Umoja wa Mataifa na kutegemea kwamba watakuwa ...

Read More »