Updates

TIF News

TIF Yasaidia Kituo Cha Kutibu Waathirika wa ‘Unga’

Kassim Lyimo, Moro VIONGOZI wa taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) wameahidi kusaidia kituo cha kuwahudumia walioathirika na dawa za kulevya kiitwacho Free at Last Sober House kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro. Ahadi hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa taasisi hiyo, Aref Nahdi alipotembelea kituo hicho akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo, Sheikh Ibrahim Twaha. Akizungumza na waathirika wa ...

Read More »

TIF Kumleta Nchini Mhadhiri Wahaj Tarin

  NA MWANDISHI WETU Taasisi ya The Islamic Foundation(TIF) inatarajia kumleta nchini mhadhiri wa kimataifa kutoka nchini Australia, Ustadh Wahaji Tarin ikiwa ni muendelezo wa juhudi za taasisi hiyo za zoezi kuwaleta wanazuoni wakubwa ulimwengu nchini kwa ajili ya da’wah. Mwaka jana TIF ilimleta nchini Mufti wa Zimbabwe na Mhubiri wa Kimataifa, Ismail bin Musa Menk. Mhadhiri anayekuja safari hii, ...

Read More »

TIF: Cheti Cha Heshima

CHUO cha uandishi wa habari Morogoro MSJ kimekabidhi cheti cha heshima kwa vituo vya matangazo vya imaan media vilivyo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kutambua mchango wake katika kuwaendeleza watendaji wake.

Read More »

“Kufata Sheria Katika Nasaha” || Masjid al-Haq || Morogoro ||

WAISLAMU nchini wametakiwa kuwa makini katika kutoa nasaha ambazo mtume Muhamad SAW amefundisha utaratibu wake kwa kuzinatia sheria za dini na kujiepusha kuamini moja kwa moja mitandao ya kijamii. Kauli hiyo imetolewa na imamu msaidizi wa msikiti wa Haq shekh Ally Mussa wakati akitoa hutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo. Aidha Shekh Ally Mussa ameongeza kuwa ...

Read More »

TIF: Ziara Kituo cha Kuwahudumia

VIONGOZI wa Taasisi ya The Islamic Foundation, wamefanya ziara katika Kituo cha Kuwahudumia walioathirika na Dawa za Kulevya, cha Free At Last Sober House, kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro. Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation, Al-akhy Aref Nahdi ameambatana na Mkurugenzi Mkuuu wa Taasisi hiyo, Sheikh Ibrahim Twaha. Akizungumza na Waathirika hao wa Dawa za ...

Read More »

Last Sober House: Kituweo cha Mbuzi

UONGOZI wa kituo cha kuwahudumia vijana walioathirika na dawa za kulevya, cha Free at Last Sober House, cha kihonda Mjini Morogoro, umeishukuru Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kuwapatia kituweo cha Mbuzi. Uongozi wa Kituo hicho umetoa shukurani hizo, ikiwa imepita siku moja baada ya Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation kuwaahidi kuwapa Mbuzi, kwa ajili ya kituo kwa ...

Read More »

Jeshi la Polisi Laipongeza Imaan Media

JESHI la polisi mkoani Mor o g o r o l i m e m p o n g e z a Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), Aref Nahdi kwa jitihada anazozifanya kupitia vyombo vya habari vya radio, televisheni pamoja na gazeti imaan za kuelimisha umma juu ya umuhimu wa kupambana na uhalifu nchini hususan mkoani Morogoro. ...

Read More »

DC Wilaya ya Mwanga Aimwagia Sifa TIF

NA AMIRI MVUNGI, ARUSHA Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro Aroon Mbogho amemshukuru Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF), Aref Nahdi kwa juhudi zake za kusaidia kwake huduma muhimu za kijamii kwa wakazi wa kijiji cha Masumbeni kilichopo tarafa ya Ugweno. Mbogho ametoa shukrani hizo wakati Mwenyekiti huyo wa TIF alipomtembela ofisini kwake na kueleza kuwa, serikali ...

Read More »