Updates

Visa Vya Mitume

NABII MUSA: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

Msihofu nipo pamoja Musa (amani ya Allah imshukie) alifika katika ardhi ya Misri na kwenda moja kwa moja kwamamayakenakakayake Harun. Awali, hawakumjua lakini baadaye wakam- baini na kumsalimia. Musa alimwambia kaka yake Harun (amaniyaAllahimshukie):“Hakika Mola wangu Mlezi ameniamuru niende kwa Firauni ili ni mlinganie kwa Allah..Na Mola wangu Mlezi pia amekuamuru wewe uni- saidie mimi katika jukumu hili.” Harun akasema: ...

Read More »

Nabii Musa: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

Nabii Musa afanya maandalizi ya kumkabili Firauni. Hapa mke wa Musa bado yupo katika hema lake akimsubiri mumewe arudi. Haelewi maswahibu yaliyomkumba mumewe, haelewi atachukua muda gani katika mazungumzo ya siri na Mola wake katika Mlima Tuwa, na pia hafahamu kitu gani kinajiri katika akili ya mumewe. Lolote linaweza kutokea, ila tu ni kwamba Allah Aliyetukuka aliujaza moyo wa mke ...

Read More »

NABII MUSA

Moto katika Jangwa Takatifu la Mlima Tuwa Musa aliutazama moto katika Mlima wa Tuwa na kurejea nyuma huku akiwa anatetemeka. Musa pia aliona mti wa ki- jani inayokurubia weusi huku ukiungua. Lakini kila moto ulipokuwa ukizidi na rangi ya kijani nayo iliendelea kuzidi. Musa (amani iwe juu yake) aliondoka huku akitetemeka, licha ya kupata vugu- vugu la moto. Mti huu ...

Read More »

Tumtendee haki Nabii Isa!

Katika muktadha wa dini kuu kwenye ulimwengu wa sasa, na kusema ukweli, kwa nyakati zote tangu kuzaliwa kwake, mtu huyu anayeitwa Isa (Kiarabu), Ishoa (Kiaramaic), Joshua (Kiebrania), Jesus (Kiingereza) na Yesu (Kiswahili), amekuwa mara zote akitukuzwa kama mtu muhimu katika kujenga mtazamo sahihi wa imani. Utata mkubwa umeigubika mada hii na kwa baadhi, kuna mkanganyiko mkubwa kuhusu nini hasa cha ...

Read More »

Kisa cha Nabii Yunus Aliyemezwa na Samaki

Katika mtiririko wa visa adhimu vya Mitume, tuliona katika toleo lililopita sehemu ya kwanza ya kisa cha Nabii Yunus (amani ya Allah imshukie). Katika kisa hicho tuliona kuwa Nabii Yunus alimezwa na samaki baharini ambako aliomba dua akiwa ndani ya tumbo la samaki na hatimaye Allah akajaalia samaki yule akamcheua. Katika muendelezo wa kisa hiki, leo tunafafanua zaidi mkasa huu ...

Read More »

Kisa cha Nabii Yunus Aliyemezwa Na Samaki

Allah alimtuma Nabii Yunus (amani iwe juu yake) ili awahubirie watu wake katika kumwamini Allah pekee na kumwabudu Yeye Aliyetukuka. Lakini watu wa mji wa Ninawaa walikataa kumwamini Mwenyezi Mungu mmoja na wakaendelea kuishi katika giza la ushirikina na ukafiri. Wakati Nabii wa Allah, Yunus (amani iwe juu yake), alipokata tamaa aliondoka katika mji wa Ninawaa na akawaahidi wakazi wake ...

Read More »

Kisa cha Nabii Ayyub: Mfano wa Subira

Ayyub mja mwenye subira Allah aliukuta moyo wa Nabii Ayyub (amani ya Allah imshukie) upo radhi na wenye uvumilivu, pamoja na balaa zito lililomkabili. Nabii Ayyub hakuwahi kuchukia kutokana na balaa hilo hata siku moja. Hivyo Allah ‘Azza wa-Jallah, akamsifu yeye kwa kusema: “Hakika tulimkuta mwenye subira, mbora wa waja, kwa hakika alikuwa mwingi wa kutubu,” (Qur’an, 38: 4). Angalizo ...

Read More »