Updates

Tag Archives: ushirikiano

Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za TIF

#BALOZI wa Comoro nchini #Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za Taasisi ya The Islamic Foundation chini ya mwenyekiti wake Aref Nahdi kwa jitihada kubwa za kuwainua waislamu nchini Tanzania kupitia nyaja mbalimbali ikiwemo kiuchumi,kielimu pamoja na kijamii. BALOZI huyo aliyasema hayo katika ziara aliyoifanya leo makao makuu ya Taasisi ya The Islamic Foundation na kujionea kazi mbali mbali zinazofanywa na #TIF Balozi huyo ameisifu ...

Read More »

Ushirikiano Ndiyo Msingi Wa Uhusiano Na Wengine

S hukurani zote anastahiki Mwenyezi Mungu na rehema na amani zimfikie Mtume wa Mwenyezi Mungu na jamaa zake na Swahaba zake na wote wanaomfuata. Ama baada ya utangulizi huu mfupi, ili dunia ipate amani na ushirikiano hapana budi dira ya Uislamu itumike kwani Uislamu hujali uhusiano na wengine. Ushirikiano unaozungumziwa hapa lazima ulenge kuja na mfumo na muundo unaohakikisha amani ...

Read More »