Updates

TIF: Ziara Kituo cha Kuwahudumia

VIONGOZI wa Taasisi ya The Islamic Foundation, wamefanya ziara katika Kituo cha Kuwahudumia walioathirika na Dawa za Kulevya, cha Free At Last Sober House, kilichopo maeneo ya Kihonda Mkoani Morogoro.
Katika ziara hiyo Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation, Al-akhy Aref Nahdi ameambatana na Mkurugenzi Mkuuu wa Taasisi hiyo, Sheikh Ibrahim Twaha.

Akizungumza na Waathirika hao wa Dawa za Kulevya, Mwenyekiti wa Taasisi ya The Islamic Foundation amewataka Vijana hao kutotumia tena Dawa hizo kwani jamii na Taifa kwa ujumla bado inawategemea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*